npm package discovery and stats viewer.

Discover Tips

  • General search

    [free text search, go nuts!]

  • Package details

    pkg:[package-name]

  • User packages

    @[username]

Sponsor

Optimize Toolset

I’ve always been into building performant and accessible sites, but lately I’ve been taking it extremely seriously. So much so that I’ve been building a tool to help me optimize and monitor the sites that I build to make sure that I’m making an attempt to offer the best experience to those who visit them. If you’re into performant, accessible and SEO friendly sites, you might like it too! You can check it out at Optimize Toolset.

About

Hi, 👋, I’m Ryan Hefner  and I built this site for me, and you! The goal of this site was to provide an easy way for me to check the stats on my npm packages, both for prioritizing issues and updates, and to give me a little kick in the pants to keep up on stuff.

As I was building it, I realized that I was actually using the tool to build the tool, and figured I might as well put this out there and hopefully others will find it to be a fast and useful way to search and browse npm packages as I have.

If you’re interested in other things I’m working on, follow me on Twitter or check out the open source projects I’ve been publishing on GitHub.

I am also working on a Twitter bot for this site to tweet the most popular, newest, random packages from npm. Please follow that account now and it will start sending out packages soon–ish.

Open Software & Tools

This site wouldn’t be possible without the immense generosity and tireless efforts from the people who make contributions to the world and share their work via open source initiatives. Thank you 🙏

© 2024 – Pkg Stats / Ryan Hefner

nida-tz

v2.0.15

Published

Karibu katika npm hii ya kupata taarifa za namba za nida kutoka tanzania

Downloads

78

Readme

nida-tz

Karibu katika npm hii ya kupata taarifa za namba za nida kutoka tanzania

Installation

npm install nida-tz

Matumizi

  • Hii inatumia asynchronous functions katika kutuma ombi yaani async - wait
  • Function inabidi iwe na maombi mawili ili kurudisha taarifa za nida.
  • Sehemu ya kwanza inakuwa na namba ya nida na sehemu ya pili inakuwa na http method ambazo ni POST au GET
  • Mfano async jinaLaFunction(nida,method)
# Syntax
async functionName(parameters);

# sample
const nidatz = require('nida-tz');
const method = "post"; #or "get
const nida = "12345123451234512345"; # put nin in string

async function mainFunction() => {
    const userData = await nidatz.nidaData(nida, method);
}

Mfano katika Express

Hivi ndio namna ya kutumia katika express

# express usage
const express = require('express');
const app = expess();
const nidatz = require('nida-tz');

app.get('/route', async (req, res)=>{
    const nida = '12345123451234512345';
    const method = 'post'; # unaweza kutumia POST au GET tu
    const userData = await nidatz.nidaData(nida, method);
    console.log(userData);
})

app.listen(portNumber, ()=>{})

Maana ya baadhi ya jumbe za kimakosa

  • Method si sahihi

  • Jumbe hii inamaana kuwa umetumia http methods ambazo hazikutambulika katika mbali na POST or GET

  • Mtumiaji hakupatikana

  • Jumbe hii inamaana kuwa namba ya nida iliyotumika haikupata data yoyote kutoka katika maktaba

  • Imeshindwa kupata data za {nida} kwa kutumia {method}

  • Jumbe hii inamaanisha kuwa kuna makosa ya kimchakato. Unaweza ukatuma tena ombi au ukabadili method

ANGALIZO

  • Namba ya nida inatakiwa iwe katika mfumo wa string
  • Ili uweze kutumia package hii inakulazimu uwe na link maalumu ya kuweza kupata data za nida
  • Link hiyo ya kupata data haikuwekwa
  • Link ya kuvutia data inabidi iwe saved kama NIDA_TZ katika mafaili kama .env

  • Maktaba hii haikutengenezwa kutoka katika maktaba za nida tanzania